|
Description:
|
|
Rais wa marekani Joe Biden kukaribisha Mkutano wa pili wa Afrika huko Washington. Viongozi wa Afrika wanatarajiwa kujadiliana kuhusu ushirikiano mpya wa kiuchumi kati ya Marekani na AFRIKA na kuweka mikataba mipya.Na kwenye habari rafiki tumekuuliza msikilizaji nini matarajio yako kutoka kwa mkutano huo? Na je unaamini kuwa ushindani kati ya China/Urusi/Marekani katika biashara ya kiuchumi utazaa matunda kwa Afrika? Sikiliza habari rafiki kujua walichosema raia kutoka kwa mataifa tofauti. |