Search

Home > Habari RFI-Ki > Hatuwa ya rais wa Guinea Ikweta Teodoro Obiang kutangaza kuwania tena urais
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Hatuwa ya rais wa Guinea Ikweta Teodoro Obiang kutangaza kuwania tena urais

Category: News & Politics
Duration: 00:10:00
Publish Date: 2022-09-27 16:50:50
Description: Karibu kwenye Makala yetu Habari Rafiki, Juma hili utakuwa naye Billy Bilali na leo tunazungumzia kuhusu hatuwa ya Rais wa Guinea Ekweta, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, juma lililopita alitangaza kuwa atawania tena urais katika uchaguzi wa Novemba licha ya umri wake na kuongoza nchi hiyo kwa kipindi cha miaka 43.Unamtazamo gani kuhusu uamuzi huu?Nini kifanyike kubadilisha mwenendo kama huu?Hali ikoje nchini mwako?
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7