Search

Home > Habari RFI-Ki > FARDC yathibitisha kutumwa kwa vikosi vya Burundi maeneo ya Uvira Kivu Kusini
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

FARDC yathibitisha kutumwa kwa vikosi vya Burundi maeneo ya Uvira Kivu Kusini

Category: News & Politics
Duration: 00:09:58
Publish Date: 2022-08-19 03:20:01
Description: Nipo hewani Muda huu Ali Bilali kuongoza makala haya ya Habari Rafiki ambapo leo tunazungumzia kuhusu.Jeshi la Kongo lathibitisha kutumwa kwa wanajeshi wa Burundi mashariki mwa DRC, haswa huko Uvira. Je, hatua hii itasaidia kutokomesha vikundi vya waasi?Je, Wakongo wamepokeaje uwepo huu wa jeshi jipya la kigeni?Je, uwepo wa wanajeshi wa Burundi unaweza kuhakikisha kurejea kwa amani mashariki mwa DRC? Usikosi pia kutullow kwa instagram kwa kubonyeza hapa @billy_bilali
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7