Search

Home > Habari RFI-Ki > Kusitishwa kwa hatuwa ya usafirishaji wa wanyamapori nje ya nchi
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Kusitishwa kwa hatuwa ya usafirishaji wa wanyamapori nje ya nchi

Category: News & Politics
Duration: 00:10:00
Publish Date: 2022-06-14 10:11:06
Description: Siku chache baada ya mamlaka ya wanyamapori nchini Tanzania, kutangaza kuruhusu kusafirishwa nje ya nchi kwa wanyama, Serikali kupitia waziri wake wa Utalii, imebatilisha tangazo hilo. Hatua hii imekuja baada ya raia wengi kuhoji uamuzi wa kuruhusu tena usafirishwaji wa wanyamapori, ambapo mwaka 2016 kuliwekwa zuio.Je ni lazima wanyamapori walindwe?Hali ipoje katika nchi yako?
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7