Search

Home > Habari RFI-Ki > Kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu msimu wa Ramadhani unapoanza
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu msimu wa Ramadhani unapoanza

Category: News & Politics
Duration: 00:09:59
Publish Date: 2022-04-06 08:35:28
Description: Msimu wa Ramadhani ndio umeanza huku kukiwa na hali ya kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu na uhaba. Hali hii haionekani tu barani Afrika bali ulimwenguni, na kulazimisha familia kupunguza baadhi ya matumizi katika msimu huu. Je, unaipangaje bajeti yako ya mwezi wa Ramadhani ? Hali ya Ramadhani ipoje katika nchi yako?
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7