|
Description:
|
|
Kwa majuma kadhaa sasa virusi vipya vya Omicron, vimeendelea kuripotiwa katika nchi mbalimbali duniani viongozi wakiwataka raia kuchoma dozi ya tatu ya chanjo, dhidi ya virusi hivyo ili kuongeza kinga, haya yakijiri huku Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akithibitishwa kuambukizwa Covid 19 licha ya kukamilisha dozi zote mbili.
Hali ya maambukizi ikoje katika nchi yako?
Nini kifanyike kudhibiti kuenea zaidi kwa kirusi hiki kipya?
Tutumie maoni ya sauti kwenda namba yetu ya whatsapp, ukianza na +254 110 000 420 |