Search

Home > Habari RFI-Ki > Habari RFI-Ki - Rais wa DRC Felix Tshisekedi atembelea wahanga wa Volkano
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Habari RFI-Ki - Rais wa DRC Felix Tshisekedi atembelea wahanga wa Volkano

Category: News & Politics
Duration: 00:10:17
Publish Date: 2021-06-14 16:36:19
Description: Makala maalum ya habari rafiki imeangazia matarajio ya raia wa mjini Goma baada ya kumpokea rais wa nchi hiyo katika ziara yake kwenye mji huo mwishoni mwa juma lililopita, Tumekuuliza Msikilizaji wetu uliyeko Goma je ? baada ya janga la Volkano na changamoto ya usalama, umeridhishwa na Hatua za serikali ya Kinshasa kulishughulikia Janga la Volkano ? Rais Tshisekedi amejibu kwa matarajio yako ? Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata zaidi.
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7