Search

Home > Habari RFI-Ki > Habari RFI-Ki - Mashirika ya kibinadamu yajibu maswali ya wasikilizaji
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Habari RFI-Ki - Mashirika ya kibinadamu yajibu maswali ya wasikilizaji

Category: News & Politics
Duration: 00:10:02
Publish Date: 2021-06-07 16:33:58
Description: Wakati waziri mkuu wa DRC Jean Michel Sama Lukonde akitangaza kuwa serikali yake imeruhusu kwamba sasa wakaazi waliokimbia makazi yao wanaweza kurejelea nyumba zao katika mji wa Goma baada ya kukimbia mji huo kufuatia mlipuko wa mlima wa moto wa Volkano Nyiragongo; mashirika ya kibinadamu likiwemo shirika la ulinzi wa raia pamoja na madaktari wa dunia, MDM huko Goma wamejibu baadhi ya maswali ya wasikilizaji wetu  Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7