Search

Home > Habari RFI-Ki > Habari RFI-Ki - Wakaazi wa Goma warejea bila matumaini
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Habari RFI-Ki - Wakaazi wa Goma warejea bila matumaini

Category: News & Politics
Duration: 00:10:08
Publish Date: 2021-06-05 08:35:50
Description: Hii leo tunakuletea Sehemu ya Tatu na ya Mwisho ya Makala maalum ya Habari Rafiki Kuhusu Goma, tumekuuliza wewe msikilizaji uko wapi na hali ikoje mahali uliko Baada ya mlipuko wa mlima wa volkano Nyiragongo. Mmekuwa wengi kushiriki makala hii maalum; shukrani zetu ziwaendee nyinyi wote mliochangia, msisahau kila siku ya jumatatu tutakuwa tukikuletea makala maalum kuhusu Goma.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka,kusikiliza zaidi.
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7