Search

Home > Habari RFI-Ki > Habari RFI-Ki - Afrika yaendelea kutumia chanjo ya AstraZeneca iliyositishwa na mataifa kadhaa barani Ulaya
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Habari RFI-Ki - Afrika yaendelea kutumia chanjo ya AstraZeneca iliyositishwa na mataifa kadhaa barani Ulaya

Category: News & Politics
Duration: 00:10:08
Publish Date: 2021-03-17 16:27:07
Description: Mataifa mbalimbali barani Afrika yanaendelea na kampeni ya kutoa chanjo aina ya AstraZeneca kwa raia wake, licha ya baadhi ya mataifa ya bara Ulaya kuisitisha  kufuatia ripoti kuwa inasababisha kuganda kwa damu. Hata hivyo, Shirika la afya duniani WHO inasema chanjo hiyo ni salama. Maoni yako ni yepi kuhusu hili ? Je, unahofu yoyote kuhusu chanjo hii ?
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7