Search

Home > Habari RFI-Ki > Kusuasua kwa mkakati wa kusaka amani nchini Burundi
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Kusuasua kwa mkakati wa kusaka amani nchini Burundi

Category: News & Politics
Duration: 00:10:07
Publish Date: 2018-10-28 21:00:00
Description: Awamu ya tano ya mazungumzo ya kusaka amani ya Burundi imetamatika huko Arusha nchini Tanzania huku serikali ikisusia mazungumzo hayo. Mwezeshaji wa mazungumzo hayo na rais Mstaafu wa tanzania, Benjamin Mkapa amearifu kuwa atapeleka mapendekezo ya wanasiasa  wa upinzani kwa wakuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki. Je Mapendekezo ya wanasiasa wa upinzani yatakuwa na tija ikiwa serikali ilisusia mazungumzo hayo. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7