Kipindi cha leo tutaangalia mitandao ya kijamii kadhaa na jinsi inatumika ama wewe unaweza kutumia. Kwa siku zijazo, tutaingilia kwa kina na utapata juwa mambo mengi zaidi. Natumai kipindi hiki kitaweza kukusaidia. Usiogope kutumia rafiki zak au failia pia wao wapate kujijuza. Nifuate kwa mitandao ya kijamii ili upate kujua mengine zaidi.Twitter: twitter.com/hellokhamisiInstagram: instagram.com/hellokhamisiFacebook: facebook.com/hellokhamisiDonate: https://www.buymeacoffee.com/KhamisiHamisi
Support the show