Search

Home > Khamisi Hamisi > Ep #007: Khamisi Hamisi - Jinsi ya kupata comment nyingi zaidi kwa Instagram account yako (3/5)
Podcast: Khamisi Hamisi
Episode:

Ep #007: Khamisi Hamisi - Jinsi ya kupata comment nyingi zaidi kwa Instagram account yako (3/5)

Category: Technology
Duration: 00:04:21
Publish Date: 2019-02-06 15:00:00
Description:

Karibu kwa Swahili podcast. 

Leo tutaangalia umuhimu wa kuwa na comments nyingi kwa picha au video zako za Instagram.

Ninajuwa kuwa ni kitu kigumu sana lakini ukitumia njia rahisi tu zenye nimeeleza kwa kina kwa kipindi hichi basi hautawahi pata tabu na kupata comments kabisa.

Sikiliza kipindi chote na kama uko na swali lolote basi usiogope kuliuliza kupitia jumbe fupi kwa 0716 378 799. 

Total Play: 0