Search

Home > Khamisi Hamisi > Ep #006: Khamisi Hamisi - Jinsi ya kutumia hashtag kupata wafuasi wengi Instagram (2/5)
Podcast: Khamisi Hamisi
Episode:

Ep #006: Khamisi Hamisi - Jinsi ya kutumia hashtag kupata wafuasi wengi Instagram (2/5)

Category: Technology
Duration: 00:04:23
Publish Date: 2019-02-05 15:00:00
Description:

Karibu tena kwa kipindi kingine cha Swahili Podcast. Kama kawaida tutaongelea jinsi au namna za za kuweza kujikuza mtandaoni kupitia Facebook na Instagram. 

Kwa kipindi cha leo, tutaangalia jinsi unaweza tumia hashtag kuweza kupata wafuasi wengi zaidi IG. 

Mambo unafaa ufanye na yenye hufai kufanya pia yote nimeyataja kwa kipindi hiki.

kama una swali lolote basi usikose kuliuliza kupitia jumbe fupi kwa nambari 0716 378 799.

Twitter: Twitter.com/hellokhamisi
Facebook: Facebook.com/hellokhamisi

Total Play: 0