Search

Home > Khamisi Hamisi > Khamisi Hamisi - Manufaa ya kuwa na 'theme' kwa akaunti yako ya IG
Podcast: Khamisi Hamisi
Episode:

Khamisi Hamisi - Manufaa ya kuwa na 'theme' kwa akaunti yako ya IG

Category: Technology
Duration: 00:04:50
Publish Date: 2019-02-03 15:00:00
Description:

- Karibu kwa kipindi kingine cha Swahili Podcast. 
- Jina langu ni Khamisi na nitakuwa mtamgazaji wako leo.
- Kwa kipindi hiki ninaangali swala la kwa nini unahitaji 'theme' kwa akaunti yako ya IG.  

Ninapitia na kujibu maswali kama

  • Ni lazima?
  • Utaanza vipi theme?
  • Manufaa yake ni kama gani?
  • Kwa nini niwe nayo? 

Natumai utapata kujielimisha kwa urahisi kupitia kipindi hichi. Kama utakuwa na swali lolote basi unaweza kupiga simu au kutuma jumbe fupi kupitia 0716 378 799.

Ahsante kwa muda wako.

Total Play: 0