Search

Home > Khamisi Hamisi > Khamisi Hamisi EP #002: Manufaa Ya Mitandao Ya Kijamii
Podcast: Khamisi Hamisi
Episode:

Khamisi Hamisi EP #002: Manufaa Ya Mitandao Ya Kijamii

Category: Technology
Duration: 00:02:09
Publish Date: 2018-11-24 20:00:00
Description:

Kwa kipindi hiki tutaangalia manufaa ya mitandao ya kijamii. Mitandao ya kijamii iko na manufaa gani? Tushazoea kuwa watu wengi hutumia mitandao ya kijamii kujulisha watu chenye walikula ama labda penye wako ama chenye wanafanya. Ikitumika vizuri basi mitandao ya kijamii inaweza kuwa na manufaa sana na kwa kipindi hiki tunaangalia jinsi unaweza kutumia mitandao ya kijamii kufanya zaidi. Pata kusikiza kipindi hiki kisha usisahau kutumia rafiki na jamaa.

Nifuate kwa mitandao ya kijamii ili upate kujua mengine zaidi.

Twitter: twitter.com/hellokhamisi
Instagram: instagram.com/hellokhamisi
Facebook: facebook.com/hellokhamisi

Donate: https://www.buymeacoffee.com/KhamisiHamisi
 

Support the show

Total Play: 0