Search

Home > Habari RFI-Ki > Habari RFI-Ki - Umoja wa Mataifa wasema kuna hali ya hofu nchini Burundi
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Habari RFI-Ki - Umoja wa Mataifa wasema kuna hali ya hofu nchini Burundi

Category: News & Politics
Duration: 00:10:11
Publish Date: 2019-09-06 04:01:35
Description: Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi imebaini katika ripoti yake kwamba "hali ya hofu" inatawala katika nchi hiyo, ikiwa imesalia miezi minane kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2020. Katika ripoti yake, Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi, iliyoundwa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mnamo mwaka 2016, inaelezea jinsi mamlaka nchini humo na vijana wa chama tawala, Imbonerakure, wanaendelea kuwafanyia vitisho raia kwa kuwalazimisha kujiunga, kuunga mkono au kuchangia chama tawala, CNDD-FDD. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
400+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     5